Familia mbili kaunti ya Busia zadai haki baada ya mahakama kuamuru zilipwe fidia

  • | Citizen TV
    1,401 views

    Familia mbili kutoka kaunti ya Busia zinalilia haki baada ya serikali ya kaunti hiyo kukataa kuwalipa fidia ya ardhi yao iliyochukuliwa na serikali hata baada ya mahakama ya Busia kutoa uamuzi walipwe pesa zao. Familia hizo mbili zinaishi maisha ya uchochole baada ya kuuza mali na mifugo yao katika safari ya kutafuta haki makamani.