Mtaalamu wa Umoja wa mataifa ameonya kwamba jimbo la magharibi mwa Sudan la Darfur huenda likakumbwa na tishio la mauaji ya halaiki.
-
Alice Nderitu mshauri maalum wa Umoja wa Mataifa kuhusiana na masuala ya kuzuia mauaji ya halaiki ameiambia BBC kwamba kikosi maalum cha kijeshi cha Rapid Support Force kinalenga jamii kulingana kabila na rangi.
-
Amesema kwamba mashambulizi yanayozidi kushuhudiwa katika mji wa El Fasher uliopo kaskazini mwa Darfur, ambao ulikuwa mji wa mwisho chini ya uongozi wa vikosi vya jeshi la Sudan (SAF), umekuwa ndio eneo la hivi punde unaofungua upya vita kati ya makundi hayo mawili.
-
Ghasia na vurugu imekuwa hali ya kawaida ya Maisha huko sasa.
-
Mtangazaji @bbcswahili Laillah Mohammed anawasilisha taarifa ifuatayo ambapo BBC imezungumza na baadhi ya waathiriwa ndani ya Sudan.
-
-
#bbcswahili #sudan #ghasia #darfur #vita #bbcswahili
18 Aug 2025
- Chinese foreign minister Wang Yi will visit India from Monday to Wednesday, China's foreign ministry said in a statement on Saturday, for talks about a disputed border in the Himalayas.
18 Aug 2025
- The high-profile meeting, set to take place at the KCB Leadership Centre in Nairobi, will bring together all MPs from the two parties under the framework of the broad-based government arrangement.
18 Aug 2025
- The inferno, which broke out earlier this week, claimed the life of one person while two minors are fighting for their lives at the Kenyatta National Hospital after sustaining severe burns.
18 Aug 2025
- In a strongly worded social media post, the former Gatundu South MP criticized what he termed the “broad-brush condemnation” of the Kikuyu community in the wake of the impeachment of former Deputy President Rigathi Gachagua. Kuria urged leaders to focus…
17 Aug 2025
- Overnight Saturday to Sunday, the Allied Democratic Forces carried out attacks against civilians in the town of Oicha, looting shops and setting fire to homes, according to accounts collected by AFP on the spot.
17 Aug 2025
- The meeting follows a summit in Alaska between Trump and Russian President Vladimir Putin that failed to yield any breakthrough on an immediate ceasefire that the US leader had been pushing for. 3