Kundi moja katika kaunti ya Nairobi limekosoa uongozi wa gavana Johnson Sakaja

  • | KBC Video
    24 views

    Kundi moja katika kaunti ya Nairobi limekosoa uongozi wa gavana Johnson Sakaja kwa kile lilichokitaja kuwa serikali ya kaunti hiyo kutowahusisha vijana kikamilifu katika nafasi za ajira na pia kujumuisha makundi maalum kama vile watu walio na ulemavu.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1tv Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #KBCchannel1 #Kenya #News