Baadhi ya viongozi wa Azimio wameikosoa serikali kwa kuendelea na mpango wa Haiti

  • | KBC Video
    16 views

    Baadhi ya viongozi wa muungano wa Azimio wameikosoa serikali kwa kuendelea na mpango wake wa kupeleka maafisa wa polisi nchini Haiti licha ya agizo la mahakama la kusitisha shughuli hiyo. Viongozi hao wakiongozwa na kinara wa Wiper Kalonzo Musyoka wamesema serikali inaweza kushitakiwa kwa kuidharau mahakama.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive