Serikali inatumia mbinu mahususi kukabiliana na athari za mafuriko

  • | KBC Video
    14 views

    Serikali inatumia mbinu mahususi katika kukabiliana na athari za mafuriko ambayo yameathiri kaunti nyingi kote nchini. Waziri wa masuala ya Jumuiya ya Afrika Mashariki na Maeneo kame Penina Malonza alisema kufariki kwa takriban wakenya-320 kutokana na mafuriko na kuwaacha wengi bila makao ni jambo la kusikitisha. Wakati uo huo, baadhi ya wakazi katika eneo la Gataka, kaunti ya Kajiado wametoa wito kwa serikali ya kaunti hiyo na ile ya kitaifa kusaidia katika kupata mbinu mbadala ya usafiri baada ya barabara inayoelekea katika makazi yao kuharibiwa na mvua kubwa iliyonyesha.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive