Skip to main content
Skip to main content

Serikali inaendeleza juhudi za kuwawezesha vijana kupitia mradi wa nyota Kaunti ya Wajir

  • | TV 47
    28 views
    Duration: 2:09
    Serikali inaendeleza juhudi za kuwawezesha vijana kupitia mradi wa nyota. Kaunti ya Wajir tayari imeandaa kongamano la uhamasishaji huo. Mradi huo unalenga kuwafikia zaidi ya vijana 800,000 nchini. Serikali itatoa mafunzo ya stadi za kazi, nafasi za ajira na elimu ya kifedha. #TV47Matukio Thank you for watching this video. Kindly subscribe for more content from 'Home of The Untold Stories.' *About TV47* 'TV47 is on GOtv (Channel 102), DStv (Channel 268), SIGNET, Gotv, BAMBA and STARTIMES. __ For Breaking News, kindly subscribe by sending ‘NEWS’ to 22047. __ Connect with us: Website: https://www.tv47.digital/ Facebook: https://www.facebook.com/TV47KE Twitter: https://twitter.com/tv47news Instagram: https://www.instagram.com/tv47ke/ TikTok: https://www.tiktok.com/@tv47_ke Telegram: https://t.me/tv47_ke WhatsApp: 0797 047 047 __