Kamati ya wazee wa jamii ya Agikuyu kufanya mkutano na viongozi mbalimbali ili kuzima joto la siasa

  • | Citizen TV
    1,056 views

    Kamati ya Wazee wa Jamii ya Agikuyu, wameapa kufanya mkutano wa viongozi wote waliochaguliwa kutoka Mlima kenya, ili kuzima joto la kisiasa linaloonekana kuwagawanya viongozi wa eneo hilo.