Timu ya raga ya Shujaa yarejea nchini na kupokelewa na katibu mkuu wa michezo Peter Tum

  • | NTV Video
    659 views

    Timu ya kenya ya raga Shujaa imeihakikishia nchi kuwa macho yao watailekeza kwenye Michezo ya Olimpiki ya Paris iku mbili baada ya kupanda daraja kwenye Raga ya dunia. Timu hiyo ilirejea nchini na kupokelewa na katibu mkuu wa michezo Peter Tum pamoja na maafisa wa chama cha raga cha kenya huku serikali ikiahidi kuzawidi wachezaji hao.

    Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: ntv.nation.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya