Atiati ya elimu ya vyuo

  • | NTV Video
    76 views

    Kamati ya Elimu ya Bunge la taifa imeitaka Wizara na vyuo vikuu kufutilia mbali barua za mwaliko na karo ambazo zilitumwa kwa wanafunzi na kutengeneza moja inayoonyesha pesa ambazo mwanafunzi anafaa kulipa bila ya kujumuisha kiwango cha mkopo na ufadhili wa Serikali. Kamati hiyo pia imeitaka wizara kuangalia upya vigezo vya kuamua kiasi ambacho kila mwanafunzi anafaa kulipa kwani kwa sasa haviwezi kuthibitishwa

    Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: ntv.nation.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya