KNCHR inataka serikali kutoa maelezo zaidi jinsi ya kuwasitiri waathiriwa wa mafuriko ya Mai Mahiu

  • | NTV Video
    16 views

    Tume ya Haki Za Binadamu nchini inataka serikali kutoa maelezo zaidi kuhusu mpango wa kuwasitiri upya waathiriwa wa mafuriko ya Mai Mahiu, baada ya serikali kutoa shilingi milioni 300, kwa minajili ya kufanikishsha shughuli hiyo. Waathiriwa wa mkasa huo ulioangamiza zaidi ya watu 50, na kuwaacha mamia bila makao, wanahofu ya kubaki bila makao katika miezi miwili ijayo wakati kodi ya nyumba walizokuwa wanalipiwa na serikali itakamilika.

    Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: ntv.nation.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya