Chama cha Wachapishaji vitabu nchini Kenya, kinaibua wasiwasi kuhusu kucheleweshwa kwa malipo kutoka kwa serikali hali ambayo inatatiza uchapishaji wa vitabu vya kiada vya gredi 10. Chama hicho kinasema wachapishaji vitabu wanadai zaidi ya shilingi bilioni 11, hali ambayo isiposhughulikiwa inaweza kukwamisha shughuli ya uchapishaji na usambazaji kabla ya mwaka ujao wa masomo
Connect with KBC Online;
Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc
Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1
Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV
Check our website: https://www.kbc.co.ke/
#kbcchannel1 #news #kbclive