- 104 viewsDuration: 3:18Wakenya wanahimizwa kutumia Akili Mnemba kusuluhisha changamoto za maisha wanazokumbana nazo. Afisa mkuu wa kampuni ya Microsoft humu nchini Phyllis Migwi amesma Akili Mnemba inaweza kutumiwa kuchanganua deta ambayo itasaidia kuwasilisha huduma kwa jamii zilizotengwa kwa wakati ufaao. Taarifa hii na nyingine ni kwenye kitengo cha Kapu la Biashara. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive