Skip to main content
Skip to main content

Serikali yawatahadharisha Wakenya kutotumia viza za utalii kutafuta ajira ughaibuni

  • | KBC Video
    467 views
    Duration: 1:32
    Serikali imewatahadharisha wakenya kutotumia viza za utalii kutafuta kazi nje ya nchi na badala yake kuwataka wazingatie taratibu zilozopo. Waziri wa Leba Shadrack Mwadime amesema viza za utalii haziwezi kutumika kupata kazi katika mataifa ya kigeni. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive