Kenya inapendekeza matumizi ya mifumo ya kidijitali ya biashara kwenye mataifa wanachama wa shirika la COMESA wakati inapojiandaa kuchukua wadhifa wa mwenyekiti wa shirika hilo linalojumuisha mataifa ya Afrika Mashariki na Kusini. Naibu rais Profesa Kithure Kindiki anasema kuwa kwa kuweka huduma za unakili stakabadhi, malipo na mipango kwenye mfumo wa kidijitali, shirika la COMESA litapunguza gharama ya biashara kwa angalao asilimia 30.
Connect with KBC Online;
Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc
Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1
Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV
Check our website: https://www.kbc.co.ke/
#kbcchannel1 #news #kbclive