Waziri wa usalama ya ndani Raymond Omollo asema idara ya polisi iko katika njia mwafaka kulainishwa

  • | NTV Video
    452 views

    Katibu atika wizara ya usalama wa ndani dakta raymond omollo, anasema kwamba kenya iko katika katika njia mwafaka ya kuhakikisha kwamba mapendekezo yaliyotolewa, ili kulainisha idara ya polisi yanatekelezwa. aliyasema haya leo kwenye hafla ya staftahi kati yake na maafisa wa polisi, magereza na huduza za vijana kwa taifa- NYS

    Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: ntv.nation.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya