Shirika la haki za wakongwe limetaka bunge kupitisha mswada yanayashughulikia maslahi ya wazee

  • | NTV Video
    32 views

    Shirika la kutetea haki za wakongwe nchini ''helpage'' limelitaka bunge la kitaifa kujadili na kupitisha mswada unaopendekezwa na wizara ya huduma kwa jamii kutaka haki na maslahi ya wazee yanashughulikiwa ipasavyo. Kulingana na shirika hilo huduma kwa wazee zimedhalilishwa kwa muda huku wengi wao wakisalia kwenye makao ya wazee hali zao zikikiukwa.

    Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: ntv.nation.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya