Maadhimisho ya miaka 60 ya jeshi la wanahewa I Ruto aonya dhidi ya kujenga majengo marefu Eastleigh

  • | KBC Video
    126 views

    Serikali za Kenya na Somalia zimedhamiria kushirikiana kuimarisha uhusiano wa kibiashara kati ya mataifa haya mawili. Akiongea alipompokea waziri mkuu wa Somalia Hamza Abdi Barre katika makao yake rasmi ya Karen jijini Nairobi, naibu rais Rigathi Gachagua alisema tangu sasa mataifa hayo yataboresha mahusiano yao katika biashara na uwekezaji na kuondoa vikwazo vinavyotatiza usafirishaji bidhaa. Ripota wetu Timothy Kipnusu anatuarifu.

    MAADHIMISHO YA MIAKA 60 YA JESHI LA WANAHEWA

    Rais Ruto aonya dhidi ya kujenga majengo marefu Eastleigh

    Rais Ruto aahidi kuimarisha jeshi la wanahewa

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive