Mamia ya wakazi wa Mandera wanaishi kambini baada ya kuathiriwa na mafuriko

  • | Citizen TV
    253 views

    Waathiriwa wa mafuriko katika kaunti ya Mandera wanaitaka serikali kuwajumuisha kwenye mpango wa kuwasaidia kurejelea maisha yao baada ya mali na mashamba yao kuharibiwa na mafuriko. zaidi ya ekari 5,000 za mimea yao iliharibiwa na mvua na kuwaacha bila namna ya kujikimu. na kama anavyoarifu Hashim Jimaal familia zilizoathirika sasa zinategemea misaada kutoka kwa mashirika yasiyo ya serikali kukimu mahitaji ya familia zao.