Wakazi wa Baringo Kusini washabikia kilimo

  • | Citizen TV
    113 views

    Wakazi wa eno la Baringo Kusini sasa wanasherehekea kupungua kwa visa vya uvamizi na wizi wa mifugo baada ya kuanza mradi wa kilimo. Mradi huo ulioanza mwaka uliopita umewafaidi pakubwa wakazi wa maenoeo ya Kasiela, Arabal na Mochongoi ambayo yananawiri kila kuchao kutokana na ongezeko la wakulima. Na kama anavyoarifu Laura Otieno wakazi hao sasa wanaitaka serikali kuimarisha miundombinu kama vile barabara na soko ili kuimarisha shughuli za kilimo.