Mashabiki wa Ramogi FM, Ramogi TV Citizen Digital watumbuizwa kwenye matamasha ya ‘Nyadhi’

  • | Citizen TV
    117 views

    Mashabiki wa Ramogi FM, Ramogi TV na Citizen Digital Jumamosi usiku walitumbuizwa kwa burudani safi katika hafla ya Nyadhi iliyoandaliwa kusherehekea miaka 15 ya usanii wa mwanamuziki wa Rhumba Johnny Junior. Tamasha hiyo ya kusisimua pia ilitoa nafasi kwa mashabiki kutangamana na watangazaji wa vituo hivyo vinavyomilikiwa na kampuni ya royal Media Services. Gatete Njoroge na mahanjam ya tamasha hiyo.