Baadhi ya madereva wa masafa marefu wamesusia kazi wakilalamikia mazingira duni ya kazi

  • | Citizen TV
    1,453 views

    Baadhi ya madereva wa masafa marefu wamesusia kazi kutokana KWA SABABU YA mazingira duni ya kufanyia kazi, na kucheleweshwa kwa mishahara. Hali hii imeathiri uchukuzi Na usafirishaji wa mizigo kutoka mombasa hadi sehemu tofauti nchini Na kwa mataifa jirani. Francis Mtalaki anaungana nasi mubashara kutoka kisiwani Mombasa.