8 Oct 2025 10:12 am | Citizen TV 660 views Duration: 2:01 Wanafunzi wa chuo kikuu cha Pwani mjini Kilifi wametoa makataa ya saa 48 kwa serikali kuu kuwalipa wahadhiri wa vyuo vikuu nchini la sivyo waandamane.