Skip to main content
Skip to main content

Walemavu wataka wajumuishwe kwenye uongozi katika kaunti ya Uasin Gishu

  • | Citizen TV
    165 views
    Duration: 6:48
    Watu wenye ulemavu katika kaunti ya Uasin Gishu ,wanatarajiwa kufika mbele ya bunge la kaunti hiyo ,kulalamikia kutengwa na serikali ya kaunti . Walemavu hao wanasema hakuna hata mlemavu mmoja ameajiriwa na bunge hilo licha ya kuwa wana haki kisheria kuajiriwa kama watu wengine kwenye nyadhifa mbalimbali.