Skip to main content
Skip to main content

Wagombea watano wanamezea mate kiti katika uchaguzi mdogo cha Purko, Kajiado

  • | Citizen TV
    870 views
    Duration: 7:29
    Wawaniaji watano Kutoka wadi ya Purko iliyoko Kajiado ya Kati wanatarajiwa kuwasilisha stakabdhi zao mbele ya tume huru ya mipaka na Uchaguzi IEBC hii Leo. Baada ya kupigwa msasa na kuidhinishwa wawaniajia hao sasa watakuwa huru kuanza kampeni ya kuwarai wapiga kura kuwaunga mkono kwenye kinyang'anyiro hicho.