8 Oct 2025 10:41 am | Citizen TV 268 views Duration: 1:59 Gavana wa mombasa Abdulswamad Sharif Nassir amewashauri wafanyakazi wa kaunti waliostaafu na kupokea malipo yao ya uzeeni kuwekeza ili kuhakikisha fedha hizo zimewanufaisha.