8 Oct 2025 10:46 am | Citizen TV 1,801 views Duration: 1:46 Vijana zaidi ya 700 kutoka wadi 10 za Lamu wanatarajiwa kupokea fedha za kuanzisha biashara kwenye mradi wa NYOTA unaotekelezwa na Serikali Kuu.