- 188 viewsDuration: 3:04Watu sita zaidi walithibitishwa kuambukizwa ugonjwa wa Kipindupindu huko Kilgoris na Lolgorian, na kufikisha idadi ya walioaathirika kuwa 51. Haya yanajiri huku Idara ya afya ya umma ikichukua hatua za haraka kuzuia maambukizi zaidi kwa kufunga takriban hoteli 30 eneo hilo na Kichinjio kikuu cha Kilgoris mjini.