- 4,535 viewsDuration: 3:16Wazazi wa wanafunzi wawili waliofariki baada ya kuangukiwa na vifusi kutoka kwa jengo moja huko Kayole, wanaitaka serikali kuhakikisha watoto wao wamepata haki. Hii leo, makachero wa DCI walikita kambi katika shule hiyo ya Emmanuel New Life Learning Centre kuanzisha uchunguzi kuhusiana na yaliyojiri.