Skip to main content
Skip to main content

Wachapishaji vitabu watangaza hatari ya vitabu vya gredi ya kumi kucheleweshwa

  • | Citizen TV
    253 views
    Duration: 2:46
    Muungano wa wachapishaji vitabu nchini ulitangaza hatari ya kucheleweshwa kwa uchapishaji na usambazaji wa vitabu vya gredi ya kumi. Wasiwasi wao unatokana na deni la shilingi bilioni 11.4 wanalodai serikali. Wachapishaji hao wanapaswa kuanza kutayarisha jumla ya nakala milioni saba kwa wanafunzi wa gredi ya 10, shughuli ambayo huchukua takriban siku sitini.