- 457 viewsDuration: 5:19Kwa wengi biashara ya saluni ni njia ya kujipatia riziki na kujiimarisha kiuchumi. Lakini kwa Esther wangare kinyanjui ni zaidi ya kazi kwani imemsaidia kuinua jamii zisizojiweza maishani na kuwapa matumaini vijana wengi.kwa zaidi ya miaka 20 sasa amekuwa mwajiri, mwalimu na mlezi wa zaidi ya watu 6000 waliopitia mikononi mwake.