- 205 viewsDuration: 22:11Dalili za msingi za saratani huwa uvimbe ndani ya titi Mbinu bora za kumhudumia mgonjwa wa kansa ni zipi? Wanaonyonyesha wakipata saratani wafanyeje? Ukubwa au umbo la titi hubadilika likiugua kansa Pia homoni, urithi, na mtindo wa maisha huchangia kansa Ugonjwa hugunduliwa kupitia uchunguzi wa mwili na titi Tiba huwa ya mnururisho, tiba ya kemikali, au upasuaji