Naibu rais Rigathi Gachagua asema hatasita kusema yale yaliyo kweli

  • | Citizen TV
    6,138 views

    Kwa upande wake, Naibu Rais Rigathi Gachagua amesisitiza hatakoma kuwa msema ukweli hata anapoendeleza kazi yake kama naibu wa Rais. Rigathi aliyezungumza jijini Nakuru amewataka wakenya kumuombea pamoja na Rais William Ruto ili wabadilishe uchumi wa taifa. Alizungumza wakati wa hafla ya kusherehekea kupandishwa cheo kwa askofu wa kanisa la kianglikana dayosisi ya Nakuru Antony Mambo