Wakenya wengi hawapati huduma za usafi

  • | KBC Video
    32 views

    Kenya imesalia nyuma katika azma ya kuafikia lengo lake la sita kuhusu maendeleo endelevu, huku zaidi ya asilimia-70 ya wakenya wakikisiwa kukosa huduma muhimu za usafi. Kulingana na wizara ya maji, usafi na unyunyiziaji mashamba maji, ni wakenya milioni-3.9 pekee katika kaunti-26 wanaopata huduma za uondoaji maji-taka, huku visa vya kwenda haja kubwa katika maeneo wazi vikikithiri kote nchini.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive