Obado kupoteza mali ya shilingi milioni 235 inayoaminika kumilikiwa kwa njia ya ulaghai

  • | KBC Video
    129 views

    Aliyekuwa gavana wa Migori Okoth Obado anatazamiwa kupoteza mali ya thamani ya shilingi milioni 235 inayoaminika kumilikiwa kwa njia ya ulaghai kutokana na mapato ya ufisadi. Hatua hiyo inafuatia agizo la mahakama kuu iliyoipa tume ya maadili na vita dhidi ya ufisadi ‘EACC’ idhini ya kutwaa mali hiyo, ikisema juhudi za pande husika za kusuluhisha suala hilo nje ya mahakama hazikufua dafu.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive