KETEPA wazindua rajamu mpya ya majanichai

  • | KBC Video
    32 views

    Rais William Ruto amesema serikali inaazimia kujenga viwanda viwili katika miji ya Nairobi na Kericho kupiga jeki juhudi za kuongeza thamani bidhaa za majanichai. Akizungumza wakati wa uzinduzi wa rajamu mpya ya majanichai kwa jina Chai Gold katika kaunti ya Kericho, Ruto alisema ujenzi wa viwanda hivyo utakaogharimu shilingi bilioni 2 utaimarisha urajamishaji wa majanichai humu nchini kutoka asilimia tano hadi asilimia tisa na hata kufikia asilimia 50 ifikapo mwaka 2029.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive