Wakazi wafanya maandamano dhidi ya mswada wa fedha 2024

  • | K24 Video
    43 views

    Polisi mjini Mombasa walilazimika kutumia vitoa machozi kwa waandamanaji waliojitokeza mjini humo kupinga mswada wa fedha wa mwaka 2024. Waandamana ji hao waliutaja mswada huo kama dhalimu huku wakiwataka wabunge wauwangushe.