Rais Ruto atetea mswada wa fedha

  • | K24 Video
    29 views

    Rais Ruto ameendelea kuutetea mswada wa fedha wa 2024 akisema utasaidia kuwapa vijana nafasi zaidi za ajira. Rais amewataka wabunge waupitishe mswada huo