Athari ya maandamano kwa biashara

  • | K24 Video
    20 views

    Maandamano yaliyofanyika jijini Nairobi na miji mingine yalitatiza shughuli za kibiashara huku polisi wakilu miwa kwa kutumia vitoa machozi kuwatanya waandamanaji. Wafanyibiashara wengi jijini walilazimika kufunga maduka yao,huku serikali ikitakiwa iheshimu haki za waandamanaji.