9 Oct 2025 10:58 am | Citizen TV 283 views Duration: 1:29 Wafanyabiashara wa mchanga katika kaunti ya Kitui wamesaidia wakazi wa Tiva kujenga shule ya msingi ya maviani eneo bunge la Kitui ya kati,kama njia moja ya kuleta maendeleo na kuinua jamii.