9 Oct 2025 11:00 am | Citizen TV 197 views Duration: 1:14 Baadhi ya shule katika Kaunti ya Trans Nzoia zimepata ahueni kubwa baada ya kupokea vitabu vipya vitakavyosaidia katika utekelezaji bora wa mfumo wa CBE.