9 Oct 2025 11:04 am | Citizen TV 228 views Duration: 1:50 Gavana wa Kwale Fatuma Achani amezindua matingatinga mawili ya kulima barabara ili kukarabati barabara zilizoharibika kaunti hiyo.