Rais Ruto ataka mazungumzo zaidi kuendelezwa kati yake na wakenya

  • | Citizen TV
    7,283 views

    Rais William Ruto sasa anataka mazungumzo zaidi kuendelezwa kati yake na wakenya, huku akitaka kudumishwa kwa amani na udhabiti wa taifa. Akizungumza kaunti ya Narok mapema leo, Rais amesema maandamano yaliyoshuhudiwa yanaashiria mwanzo mpya wa mustakabali wa Kenya. Na kama Emmanuel Too anavyoarifu, Rais ameelezea imani na kundi la watu 100 lililobuniwa kuangazia mwelekeo wa taifa