Huduma zaidi kugharamiwa kwenye bima mpya ya afya

  • | KBC Video
    15 views

    Mpango wa afya ya jamii utahakikisha kila mkenya ananufaika kikamilifu na kupungua kwa visa ambapo Wakenya wengi wanalazimika kutumia pesa zao kulipia huduma za afya. Mwenyekiti wa mpango huo Dkt Timothy Olweny amesema hazina ya kitaifa ya bima ya matibabu-NHIF haikuwa inagharamia matibabu yote na ilikuwa na manufaa madogo kwa wanachama wake.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive