Afande mwandamanaji

  • | NTV Video
    5,755 views

    Afisa wa magereza aliyekuwa anadhaniwa kupotea hatimaye amepatikana. Jackson Kuria Kihara, alikuwa akiandamana jijini Nairobi. Lakini tangu siku ya Ijumaa, wiki iliyopita, simu ya Jackson Kuria imekuwa mteja, jambo ambalo limeleta wasiwasi mkubwa kwa familia yake.

    Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: ntv.nation.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya