- 432 viewsMarekani inaendelea kusukuma mpango wa amani kati ya Israel na Hamas unawahusisha wapatanishi wa kikanda Misri na Qatar. Wakati huo huo, Israel na Hamas wanasema hakuna maendeleo wakati mapigano yameongezeka huko Gaza. VOA Swahili inarusha matangazo ya Duniani Leo kupitia Tovuti yetu na jukwaa la Facebook Jumatatu hadi Ijumaa tukikuletea habari mbalimbali za siasa na uchambuzi kwa lugha ya Kiswahili. Tembelea tovuti yetu voaswahili.com/duniani-leo na Makala Maalum ya Jarida la Wikiendi. Sauti ya Amerika - Idhaa ya Kiswahili inawafikia zaidi ya watu milioni 100 wanaotembelea tovuti, mitandao ya kijamii, radio na televisheni zetu. Tunawasilisha maudhui kuhusu Afrika Mashariki na Kati kwa nchi takriban 11 huko Afrika na wale walioko ughaibuni na kwingineko duniani. Vipindi vyetu vimejikita katika maudhui mbalimbali ikiwemo habari, vijana, wanawake, siasa, sayansi, teknolojia, afya, biashara, michezo, muziki na burudani na pia tunawashirikisha wasikilizaji wetu. Matangazo yetu yanasambazwa kupitia satellite, cable, FM na MW, na and kupitia mtandao wa vituo vya matangazo vya washirika wetu takriban 3000. Tangu kuanzishwa mwaka 1942, Sauti ya Amerika imeendelea na azma yake ya kutoa habari za kina na kuwaambia wasikilizaji wake ukweli. Tangu kipindi cha Vita Vya Pili vya Dunia, Vita Baridi, Vita dhidi ya ugaidi wa kimataifa, na juhudi za ukombozi duniani kote hivi leo VOA imekuwa mfano katika kutekeleza kanuni za vyombo vya habari huru. Jiunge na VOA Swahili: » Tembelea Tovuti Yetu: https://bit.ly/3PtyNWc »Angalia Video Zaidi za VOASwahili: https://bit.ly/3TNTiiI »Pakua VOA+ katika vifaa vya Apple : https://bit.ly/VOAPlus »Download VOA+ katika vifaa vya Android https://bit.ly/3KykriI »Tembelea Tovuti yetu: https://www.voaswahili.com/ »Upende ukurasa wetu wa Facebook: https://www.facebook.com/voaswahili »Tufuatilie katika Instagram: https://www.instagram.com/voaswahili »Tufuatilie katika X: https://twitter.com/voaswahili »Tufuatilie katika YouTube: https://www.youtube.com/@VOASwahili
Marekani yaendelea kusukuma mpango wa amani kati ya Israel na Hamas
- - Duniani Leo ››
- 5 Jul 2025 - Rescuers were desperately searching for at least 20 girls missing from a riverside summer camp, officials said Friday, after torrential rains caused a "catastrophic" flash flood that killed at least 24 people as it swept through south-central Texas.
- 5 Jul 2025 - A middle-aged man was on Friday sentenced to seven years in prison after pleading guilty to a drug trafficking charge.
- 5 Jul 2025 - US President Donald Trump said Friday he was "very unhappy" about his telephone call with Vladimir Putin on the war in Ukraine, saying the Russian leader just wanted to "keep killing people."
- 5 Jul 2025 - Rwandan President Paul Kagame said on Friday he was unsure whether a U.S.-brokered peace deal would hold with Democratic Republic of Congo and warned he would respond to any "tricks" from his neighbour.
- 5 Jul 2025 - The United Nations Human Rights Council on Friday rejected a bid by Eritrea to end the mandate of a U.N. expert investigating alleged abuses in the country, in a relief to Western diplomats who feared it would set a dangerous precedent for states seeking…
- 5 Jul 2025 - The European Union's landmark rules on artificial intelligence will be rolled out according to the legal timeline in the legislation, the European Commission said on Friday, dismissing calls from some companies and countries for a pause.
- 5 Jul 2025 - From drought to prosperity: How one farmer transformed her livelihood through climate-smart agriculture
- 5 Jul 2025 - Three decades after the Srebrenica genocide, relatives are still looking for and burying the remains of more than 8,000 men and boys killed by Bosnian Serb forces, revealing the painful scars cut deep into the country. On July 11, 1995, Bosnian Serb…
- 5 Jul 2025 - We had no reason to believe this was going to be anything like what's happened here. None whatsoever.
- 5 Jul 2025 - Rescue teams pulled more bodies from the rubble of a five-storey building collapse in Pakistan overnight, taking the toll on Saturday to 14 as the recovery operation continued for a second day. The residential block crumbled shortly after 10:00 am on…