ODM yatangaza kusimama na vijana kwenye maandamano

  • | NTV Video
    674 views

    Chama cha ODM kimejitokeza kuonesha kuunga mkono kilio cha kizazi kipya almaarufu Gen Z katika maandamano yanayoshuhudiwa nchini. Aidha ODM imetangaza kuwafuta kazi wabunge wake 6 kutokana na wao kuunga mkono mswada wa fedha wa wmaka 2024 bungeni licha ya kilio cha wakenya.

    Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: ntv.nation.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya