Maandamano Mombasa I Uporaji na uharibifu wa mali washeheni

  • | KBC Video
    36 views

    Ghasia na uharibifu wa mali ulishuhudiwa leo wakati wa maandamano mjini Mombasa. Maandamano hayo yamesababisha vifo vya watu wawili huku wengine wengi wakijeruhiwa. Wahalifu walikuwa kwenye maandamano hayo ya amani na walipora biashara, kuwaibia wakazi na kuharibu mali ya kibinafsi, na kuwaacha wafanyabiashara wengi wakikadiria hasara. Mwanahabari wetu Ann Mburu na taarifa kamili.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive