Wafanyabiashara wakadiria hasara kubwa huku maandamano yakiingia wiki ya tatu

  • | KBC Video
    92 views

    Wafanyabiashara katikati mwa jiji la Nairobi, wamelalamikia kuvamiwa kwa biashara zao na wahalifu mwanaotumia maandamano kama kijisababu cha kupora maduka na kuharibu mali. Maafisa wa polisi walikabiliana vikali na waandamanaji katika barabara za Moi na Tom Mboya jijini Nairobi. Majengo ya bunge, mahakama ya upeo , jumba la mikutano ya kimataifa- KICC, jengo la City hall , yalikuwa chini ya ulinzi mkali. Giverson Maina na taarifa kamili kuhusu maandamano yalioshuhudiwa katikati mwa jiji.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive