Waandamanaji wakabiliana na polisi huku biashara zikifungwa kote jijini

  • | KBC Video
    189 views

    Watu kadhaa walikamatwa leo katikati mwa jiji la Nairobi,polisi wakitumia vitoa machozi kuwatawanya waandamanaji kutoka eneo la katikati na viungani mwa jiji la Nairobi.Usafiri katikati mwa jiji ulidhibitiwa polisi wakiharamisha makongamano katika vituo vya mabasi na barabara kuu jijini.Joseph Wakhungu alikuwa jijini Nairobi na kutuandaliwa taarifa ifwatayo.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive