Askofu Gadiel Lenini awataka polisi wasitumie nguvu

  • | Citizen TV
    1,605 views

    Askofu mkuu wa kanisa la kiangilikana katika kaunti ya kajiado gadiel lenini ametoa wito kwa maafisa wa usalama kutotumia nguvu kupita kiasi wakati wa kuwakabili waandamanaji . Kadhalika amewataka waandamanaji kuhakikisha hakuna vurugu wala uharibifu wa mali wakati wa maandamano.